SIKU YA SABA SABA

Leo, tarehe saba, mwezi wa saba (07/07) ni siku ya kipekee katika historia ya Kenya. Kokwa za mti huu zilipandwa miaka thelathini iliyopita. Taswira ya James Orengo, Martin Shikuku, Philip Gachoka  na Rumba Kinuthia, ni muhali kusahaulika. Viongozi hawa wakiwa juu ya gari la aina ya Toyota pickup, huku wakionyesha vidole viwili hewani, waliipa siku hiyo maana mpya. Siku hiyo …