SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Leo, Juni 16, 2020 ni Siku ya Mtoto wa Afrika. Siku hii iliteuliwa na uongozi wa Shirika la Umoja wa Afrika (OAU) mnamo mwaka wa 1991. Tarehe hii ni kumbukumbu ya Maandamano ya Soweto (Soweto Uprising) ya mwaka 1976, Afrika Kusini.  Wakati huo wanafunzi waliandamana dhidi ya kiwango duni cha elimu walichokuwa wanakipata. Aidha, walitaka wafunzwe katika lugha zao za …