SIKU YA KATIBA

Tarehe hii, miaka kumi iliyopita, Wakenya walishuhudia tukio la kihistoria. Rais Kibaki, katika bustani ya Uhuru, alitia sahihi yake na hivyo rasimisha katiba mpya. Katiba ya Kenya, 2010. Aliinua stakabadhi hiyo na kuonyesha maelfu ya Wakenya waliohudhuria hafla hiyo muhimu. Alipokezwa kwa shangwe na nderemo. Ramsa ya Wakenya ilikuwa dhahiri. Kurasimishwa kwa Katiba ya Kenya, 2010, kulikuwa tokeo la misururu …