SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA

Shirika la Umoja wa Mataifa liliteua siku ya 12 Agosti kuwa Siku ya Kimataifa ya Vijana. Siku hii huadhimisha sauti na hatua za vijana kote ulimwenguni. Kila mwaka, siku hii huwa na mada maalumu. Mada ya mwaka huu ni; “Ushiriki wa Vijana Kwa Hatua za Kitaifa.”  Mada hii inanuia kuonyesha jinsi ushiriki wa vijana katika ngazi za mitaa, kitaifa na …